Jumapili, 23 Septemba 2018
Hamissa Mobetto Ataja Sababu za Kublock Diamond
Hamissa Mobetto Ataja Sababu za Kublock Diamond
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameeleza sababu ya kum-block Diamond Platnumz kwenye ukurasa wa Instagram wa mwanae.
Kwenye Mahojiano na The Playlist ya Times FM, Hamissa amesema amefikia uamuzi huo kutokana na Diamond kumuingiza mtoto kwenye mambo yao na pia kushindwa kumuheshimu.
"Kwenye page ya mtoto sio kumfuta tu mpaka kum-block kwa sababu anakuwa kama mtu hajielewi, hata we have issues usimuingize mtoto ama mama mtoto wako,' amesema.
"Unajua sisi kwetu wanasema jitahidi umsitiri mtu aliyekuzalisha, mtu uliyemzalia ama mke wako wa ndoa, mume wako wa ndoa kwa sababu aibu yake ni ni yako pia," amesema Hamisa Mobetto.
Hamisa Motto ni mama wa watoto wawili, mmoja akiwa amezaa na Diamond Platnumz.
Jumamosi, 22 Septemba 2018
Jumatano, 7 Machi 2018
Jumatatu, 19 Februari 2018
Ijumaa, 29 Septemba 2017
KILIMO BIASHARA: KILIMO BORA CHA CHOROKO NA SAID YANDE
KILIMO BIASHARA: KILIMO BORA CHA CHOROKO: KILIMO BORA CHA CHOROKO MUNG BEAN ( Vigna radiata) www.kilimofaida.blogspot.com UTANGULIZI Choroko ni zao la chakula na biashara lenye...
Jumatatu, 17 Julai 2017
Kulikoni Ughaibuni : Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Mauaji Ya #MKIR...
Kulikoni Ughaibuni : Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Mauaji Ya #MKIR...: Kabla ya kuingia kwa kina kwenye uchambuzi huu, ni muhimu kueleza bayana kwamba japo maana, mbinu na ufanisi wa uchambuzi wa kiintelijens...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)


